TRUST Group Wanahusika kuuza , kununua pamoja na  kusambaza taharifa  kwa wahitaji za upatikanaji wa viwanja, Nyumba na aseti nyinginezo

 

Tumejenga msingi wetu katika uwaminifu, na ukitupa kazi ya kukutafutia kiwanja na kutetea kwa muhusika ili upate kwa bei ya chini na ukiridhia na biashara ikifanyika mkabiziana, garama zetu ni makubalia kati ya asilimia 5% mpaka asilimia 10% za fedha ya manunuzi.

 

Garama nyingine ni upande wa ofisi ya kijiji kupata udhibishisho wa muhuri wa Mwenyekiti na Balozi wa eneo husika, garama hizi huwa zinachangiwa kati mnunuzi na muuzaji.

 

Garama ya kufika kuangalia eneo husika ni Tsh 5,000 ya mchango wa mafuta.

Tell: {+255} 0784411852  ,  0767411857

Bomang"ombe  ni mji unaokuwa kwa kasi sana,

 Sifa ya kwanza ya  eneo hili ni kati ya Arusha, Kilimanjaro Airport, Mirerani

 

Sifa ya pili ni mpangilio wa makazi,Wakazi wanakaa na wanafanya biashara zao hapo hapo, japokuwa uchumi wa eneo hili unazidi kuongezeka, ila kwa makazi ni eneo zuri sana.

 

Sifa ya tatu ni ukaribu wa makazi wa eneo hili la mjini na nisalama kujenga na kuishi ukitofautisha na Moshi mjini ambako mji umesha kuwa kimaendeleo,na bei za viwanja vya mjini ni bei juu sana, inakubidi Ukitafu kiwanja utapa njee sana ya mji kiasi kwamba eneo lingine utalisubiria lichangamke ili iwe usalama kwa kuishi baada ya kuwa na majirani wengi kujenga na  kuamia.

 

 

 

 

 

1} Eneo la Mjini katikati ukipata nyumba inayo uzwa au kiwanja ni kuanzia milioni 25, 000,000 na kuendelea.

 

2}Upatikanaji wa viwanja Bomang'ombe kwa wenyeji wanauza kati ya Mita 20 kwa Mita 30-35 kwa kiwango cha 2,000,0000 mpaka 4,000,000 kutegemeana na eneo husika na muuzaji ikiaminika ndio saizi ya wengi wao wakinunua na kujenga nyumba nzuri, japokuwa unaweza kununua eneo kubwa Zaidi kulingana na uwezo wako.

 

Na tathimini inaonyesha wakazi wengi ni wafanyakazi na wafanya biashara  wa mikoa ya moshi na Arusha

Na maeneo mengi ya hapa yana maji na umeme na uduma nyinginezo muhimu